Sheng’ : WORD, a piece by Kuni & Gaz

*intro song*

 

Anger ishaset pace, hizi days ni minimal

Lazma tumange sweat, all tough days are gone

Acha tupate doo bora isiwe easy go

So sijaunderrate hii game

Kumbe ndio home

Tukicooperate na aliye juu kuunda bomb

Macanons za Pentagon

Na jina Kuni Gaz impossible ishakuwa

Possible for sure

Lava ishatoka down, fala amefika town

Na laughter imejaa kwa some

Si basi msing along

 

Tingiza kichwa tu

Ama mikono juu

Kashaivana juu

Tumeshikwa hivi in a downward spiral

 

Na hii design nadra

Tunatembea na majira kuifanya Swa ajira

Tukistruggle kama kupenya ndani ya bikira

Juu tunahitaji raha

 

Nimezoea kuinhale harufu mbaya ya sewage

Ni safi tu

Lakini maneno yetu ni ya uchungu juu ya maumivu si tunaona

Ushawahi tuona

Kwa slums ziko congested kama mukuru wa njenga

Tukicheza benga?

Tuko exhausted na Kibera tutaijenga juu

Tumeona shida hivi tele

Tukosapo misheni na hatujui kama tutaendelea mbele

Ashindwe!

Asiyependa si tumange

Tukonde ka vijiti tusinone ka malenge

Hivi haina shangwe

 

Kumbe sanaa inaweza fanya tu jamaa apande ndege

Na Care International mpaka anavuka mipaka

Ni kama siko

Si basi Kuni na Gaz piga kelele

 

Tingiza kichwa tu, ama mikono juu

Tingiza kichwa tu, ama mikono juu

 

Na huwaza napata kweli nimejisahau tu hivi

Fikra zina enzi, popote kuna kazi

Nikose

Bado niko mbioni

Jua imenichoma miaka nane ya masafa na

Slums zinasuffer sana HAIFAI

 

Though!

Acha pia sisi tupande

Tulisikia wakisema eti sisi hukaa ndee

Kumbe siri hawasemi

Mbona tusikonde

Wakicome na unga ngano basi

Mbona tusiikande

Hawavunji milima hao na je mabonde?

 

Kumbe sanaa inapay?

Saa hii musijali

One day mutarise

Tumefika next level, tunangoja better days

 

Jamaa watanyaa

Hatutawapa sorrows

Occasionally ndani ya bar mpaka morrow

Na kwa jukebox ni Dar mpaka Moro

 

Hatujacome showbiz na issues

Tumecome show, biz, na issues

Na ukidharau stuff yetu kaa tissue

Baada ya haja kubwa ndio utajua ni issue

 

(Chanted)

Fire inaburn, hakuna wa kupuliza

Fire fighter tena wakuja kuituliza

Puliza … Nitulize

Puliza … Nitulize

GAZ, Gundua Anger Zaidi

© Kunimbichi and Gaz

Advertisements

3 thoughts on “Sheng’ : WORD, a piece by Kuni & Gaz

    • I’ve asked them and they said they don’t (unless someone posted one without their knowing). However, I shot a video of this piece after this interview and it is being edited.

      Since I have a slow connection, it’s been a challenge trying to upload videos on YouTube but I am not giving up!

      If there is an easier way I could forward it to you, let me know!!

Share your thoughts

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s